Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
HEKAHEKA-2013
Hekaheka ya leo December 18 inatokana na ile ambayo ilisikika kwenye Leo Tena ya December 11 ambapo ilikuwa inatoka Tanga ambapo jamaa mmoja mwenyeji wa Tabora alikwenda huko kwa lengo la kuoa na baada ya hapo akakutana na mauzauza ambapo watu walikuwa wakimchukua na kumpeleka sehemu mbalimbali huku wakitaka kumkata ulimi.
Mara ya mwisho jamaa huyo kusikika siku hiyo alikuwa hana hali nzuri kutokana na kujisikia kuumwa, leo amesikika tena ambapo amesema kuwa watu hao walimchukua, tena safari hii ndugu wa mkewe walishuhudia akichukuliwa katika mazingira yaleyale ya ajabu, anasema waliomchukua wamemwambia kwamba eti hakupiga hodi wakati anaingia Tanga kwa ajili ya kuoa.
Hali yake bado haijawa nzuri kutokana hivyo bado yuko Tanga.
Isikilize Hekaheka hiyo hapa.
 Kama hukupata fursa ya kuisikia hekaheka hii sehemu ya kwanza bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top