Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Muigizaji nguli na muongozaji wa filamu za kibongo, Nice Mohamed “Mtunisy” leo amewatolea uvivu wale wadada amabao wana dai kuwa na wachumba wao wapo nnje ya nchi. Hivi ndivyo alivyofunguka kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

"Duh yaelekea huko nchi za nje kuna WACHUMBA wa dada zetu wengi hapa nchini maana kila mdada ukimuuliza mchumba wake anakuambia yupo NJE cha ajabu miaka inakatika wamuona yupo mwenyewe tu hebu nyie WACHUMBA mlio huko NJE rudini basi muje kuwaoa hawa wachumba zenu wanazeeka huku au kama mumepata wengine huko muwaruhusu basi waolewe na kina bwa. SHOMVI wa huku au fix zao tu hawa wadada?".

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
26 Dec 2014

Post a Comment

 
Top