Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chelsea watakula sikukuu ya Krismasi Alhamisi wakiwa kileleni mwa Ligi Kuu England.
Hiyo inatokana na kuitwanga Stoke City kwa mabao 2-0 kwao.


Mashujaa ni nahodha John Terry na midfield kisheti, Cesc Fabragas ambao walifunga mabao kila kipindi.

Vikosi:

Stoke: 
Begovic, Bardsley, Shawcross, Muniesa, Pieters, Cameron, Nzonzi, Walters, Bojan, Arnautovic, Crouch.
Subs: Huth, Whelan, Wilson, Adam, Diouf, Butland, Assaidi.
Chelsea:
 Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Mikel, Matic, Willian, Fabregas, Hazard, Costa.
Subs: Cech, Luis, Zouma, Ake, Oscar, Drogba, Schurrle.
Referee: Neil Swarbrick (Lancashire)





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top