Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii mwenye jina kubwa hapa bongo ally kibba Juzi 19.12.2014 ameachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili Uzuri na mapungufu yake ili aweze kujirekebisha kwenye video zinazofuata.

Uzuri :
Video ina Quality moja Poa sana na pili Nimependa jinsi Walivyokuwa Wanacheza Ali Kiba na Wacheza Show wake.

Mapungufu
Video hii itatamba sana hapa nchini Tz labda na east Africa tu ila itapata shida sana kutamba katika nchi zisizojua kiswahili kwa sababu video ya wimbo haielezei uhalisia wa maudhui wa nyimbo husika.

Kiufupi mtu asiyejua kiswahili hawezi kujua wimbo unazungumzia nini.

Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.

Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.

Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani?

Angalia Video Hapa:

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top