Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Jama mmoja anayejulikana kwa jina Ziona Chana mwenye miaka 38 ambaye ana wake  39 pamoja na watoto 94,Wakwe 14 pamoja na wajukuu 33 wanaishi kwenye nyumba moja ambayo iko kama hotele yenye vyumba zaidi ya 100 ambaye ni raia kutoka Indian,kwa mujibu wa watu wanamfahamu mwanaume huyu kila mwaka huwa na tabia ya kuoa wanawake 10 na wawili kati yao lazima wawe masister,cha ajabu zaidi ni kwamba wake hao 39 wamesema wanafurahia sana kuna na mwanaume kama Ziona Chana ambapo huwa wana ingia kwa zamu kwenye chumba cha mwanaume huyo ili kutimiza ahadi yao ya ndoa

Hizi ni baadhi ya picha za familia ya Ziona watoto,wake na hata wajukuu 





 


Unaambiwa kila siku wao ni lazima kwenda sokoni kununua vyakula kutoka na idadi yao kua kubwa sana 








Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top