Habari kutoka katika Uganda zinaeleza kwamba katika pati ya mwaka ya Zari wiki iliyopita iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Guvnor uliopo Kampala, Uganda mwanadada huyo hakuishiakwenye pati tu bali alitumia nafasi hiyo kumtambulisha Diamond aliyekuwa mgeni rasmi kuwa kwa sasa wao ni wapenzi.Swala hilo bila shaka linakuja kwa makubaliano ya mrembo huyo kuwa tayari kubeba jukumu lililowashinda watangulizi wake kama Wema, Jokate na Penny yaani kiu ya Diamond kupata mtoto ama sivyo Diamond atakuwa anarefusha tu litania ya ufuska.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment