Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
law
Mwanasheria nchini Marekani amefunguliwa mashtaka baada ya kukutwa na kete za dawa za kulevya aina ya Heroine wakati akienda kesi.

Dawa hizo  zenye thamani ya dola za kimarekani 30,000 zilikutwa katika bahasha yenye kadi ndani wakati akisoma mashtaka.
Jaji huyo mwenye miaka 63 Stephen Beecher atahukumiwa katika mahakama za juu  na huenda akatumia kifungo cha miaka miwili kutokana na kosa la kuingiza dawa za kulevya mahakamani.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa polisi walidai dawa hizo ambazo walizikuta zimefungwa ndani ya bahasha iliyokua na kadi ndani yake wakati akijaribu kuziiba na zilitoka kwa mmoja wa watuhumiwa waliokamatwa wakati wakijaribu kuzisafirisha na zilikua zikisubiri ushahidi wakati kesi ikitarajiwa kusikilizwa wakati wowote.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top