Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
IMG_9861.JPG
Michuano ya ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena jioni ya leo kwa mchezo wa mahasimu wa jadi Liverpool dhidi ya Manchester United ambapo game hii pia ilikua ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande zote mbili.

Magoli ya Wayne Rooney katika dakika ya 10 ya mchezo, Juan Mata dakika ya 40 yaliwapeleka United mapumziko wakiwa kifua mbele kwa 2-0 ambapo kipindi cha pili Liverpool walijaribu kusawazisha lakini jitihada zao ziliishia mikononi mwa kipa David De Gea.
Robin van Persie alifunga la tatu na la ushindi kwa timu yake na kuweka rekodi ya kushinda mechi 6 mfululizo.
Matokeo mengine ya EPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top