Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu imekanusha taarifa iliyoandikwa mitandaoni na magazetini kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo atalihutubia taifa.
Taarifa sahihi ni kwamba Rais atalihutubia taifa siku ya Jumatatu, Desemba 22 mwaka huu muda utakaopangwa.
UNGANA NASI KATIKA FACEBOOK
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment