Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
davido




Usiku wa janaTanzania tena tumefanikiwa kunyakua tuzo ya BBA baada ya mtanzania Idris Sultan kuibuka na ushindi wa dola laki tatu kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014.

Usiku huo huo baada ya ushindi wa Idris,Diamond alipost tuzo aliyoshinda Nigeria baada ya matukio hayo kufanyika,Hit Maker wa single kadhaa ikiwemo Skelewu Davido alipost kitu ambacho kimezua tafsiri tofauti tofauti.

Post ya Davido ilisomeka >>’N they Cheat again lol’ baada ya muda mfupi post hiyo aliifuta ambayo bado Watanzania wamekua na maswali tofauti kuhusu hicho alichokiandika.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top