Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baada ya Chris Brown na Karrueche Tran kuchafuana kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuachana, Chris ameomba radhi.
breezy n K
Baada ya wawili hao kutupiana lawama na kuweka hadharani mambo mengi ya siri kuhusu uhusiano wao, Breezy ameandika ujumbe huu wa kuomba radhi kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 6,576,354:
B
“Being young and dumb is one of my strong suits and emotional at best. I love hard and react impulsively when I’m hurt at times. I don’t think social media is a place to air out or hash out personal problems and a nigga feel hella WACK for doing it. So I AM APOLOGISING! I live in a glass house and the same shit that makes me great also is my curse. Everybody know I love that girl. I don’t care how my image my look to the public because I’m still gonna be the best at what I do. I just want baby girl to know I apologise.”

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top