Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Kampuni ya Azam Media imeanzisha huduma ya runinga za kulipia nchini Kenya.
1800359_274606006038981_668844143_n
Hatua hiyo imekuja wakati ambapo Kenya inatarajiwa nayo kuhama kwenye matangazo ya analojia na kuingia digitali kuanzia mwezi ujao.
Azam itapambana na makampuni kama Multichoice, Zuku TV na mengine kwenye biashara hiyo nchini humo.
Azam ina mpango wa kwenda katika nchi zingine kama Zambia, Rwanda na zingine.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top