Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwili wa dada huyo baada ya kupigwa risasi na majambazi.
Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanatumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda, wamemuua kwa kumpiga risasi dada mmoja ambaye jina lake halijafahamika maeneo ya Kinondoni, Morocco jijini Dar es Salaam baada ya majambazi hayo kuiba katika duka la M-pesa, wakati wanaondoka walikuwa wanarusha risasi ovyo na kumpata dada huyu aliyekuwa akipita njia.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top