Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Gari ndogo ya binafsi ikiwa nyang'a nyang'a na kusababisha watu wawili kupoteza maisha
Tukio hilo limetokea karibu na Ziba,ambapo tunaelezwa kuwa gari ndogo imechakazwa vibaya na inadaiwa kuwa inaelekea Burundi. 
Taarifa za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni pamoja na speed ya gari dogo lakini mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji na kusababisha gari ndogo kugongana na lori la miziogo.
Ajali iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo kupoteza maisha maeneo ya Nzega mkoani Tabora
Taswira ya Lori la mizigo lililogongana na gari ndogo ya abiria

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top