Manchester United imeripotiwa kumsajili kipa wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Victor Valdez baada ya kufanya nae mazoezi kwa muda wa karibu mwezi mzima .
Valdez ambaye aliihama Barcelona baada ya mkataba wake kuisha msimu uliopita alikuwa karibu kujiunga na klabu ya Liverpool lakini jeraha baya la goti alilopata katikati ya msimu uliopita lilizuia usajili wake kwenda Anfield.
Katika kipindi hiki kocha wa Manchester United Louis Van Gaal alimpa kipa huyo nafasi ya kufanya mazoezi na United hali ambayo ilimuweka karibu na usajili ndani ya klabu hiyo .
Usajili wa Valdez ulithibitishwa na kipa namba moja wa United David De Gea ambaye alizungumza na waandishi wa habari na kuwathibitishia kuwa United imemsajili Valdez.
De Gea alikuwa akijibu maswali ya waandishi walimhusisha na usajili kuelekea Real Madrid na katika kukanusha kwake taarifa hizo De Gea aliwaambia waandishi wa habari kuwa Valdez hajasajiliwa kama mrithi wa nafasi yake .
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Ujumbe wa Samatta kwa Waliotamani Genk Ingepangwa Kundi Moja na Man United28 Aug 20160
Mchana wa August 26 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makund...Read more ?
- Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya mwanasoka bora Ulaya26 Aug 20160
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora Ulaya. Ron...Read more ?
- Makundi ya klabu Bingwa Ulaya 2016/201726 Aug 20160
Droo ya kupanga Makundi ya klabu Bingwa Ulaya 2016/2017 ratiba kamili ya hatua ya makundi ya Uefa ...Read more ?
- MICHEZO Bilionea anayetaka kuinunua Simba, ametaja kilichomsikitisha katika mkutano wa Simba01 Aug 20160
Siku moja baada ya mkutano mkuu wa Simba kufanyika na kukubali kupitisha maadhimio ya mabadilik...Read more ?
- Gonzalo asajiliwa na Juventus kwa pauni milioni 7528 Jul 20160
Klabu ya Juventus wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Argentina, Gonzalo Higuain kutoka klabu...Read more ?
- Hongera Yanga kwa mlipofika, tujipange upya28 Jul 20160
Ni muda mrefu soka la Tanzania kwenye ngazi za vilabu limeonekana kuzorota kufuatia vilabu vyake k...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment