Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Groom placing a wedding ring on his Brides fingerKuwepo kwa mitandao ya kijamii kumeleta mambo mengi na mengine si’ ya kawaida, mfano tabia iliyopo siku hizi ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakianzisha mahusiano mpaka ya kimapenzi kupitia mitandao hiyo hata kama hawafahamiani, wapo wachache ambao wameweza kuvuka na kufikia hatua ya kuoana, lakini wengi huishia katikati.
“ Wewe sio mwanamke niliyekuwa nakufikiria.. samahani, ila ninakuacha”  Bwana harusi alijikuta akisema maneno hayo siku ya ndoa baada ya kukutana uso kwa uso na Bibi harusi siku ya ndoa yao huko Saudi Arabia.
Wageni waalikwa walishtuka, Bibi harusi akapoteza fahamu huku ndugu na jamaa wakimsihi jamaa akubali ndoa hiyo iendelee.
Utamaduni wa Nchi za  Mashariki ya kati, Magharibi  mwa Madinah wapenzi huweza kuoana hata bila kufahamiana, ambapo mbali na kali hiyo kuna mwanaume mwingine anafanya utaratibu wa kudai talaka kutokana na mke wake kutomjibu message anazomtumia kwenye Whatsapp.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top