Zaidi ya Wakazi 50 wa Kijiji cha Kidahwe, Kata ya Matendo, Wilayani Kigoma, wameandamana kwa miguu umbali wa Kilomita 37, kutoka kijijini kwao mpaka Ofisi za Tanesco Mjini Kigoma, wakidai kutolipwa malipo ya fidia ya maeneo yao ambayo yalichukuliwa na Tanesco kwa ajili ya kupitisha nguzo za umeme.
Wakiongea na mtandao huu, baadhi ya wakazi hao, wamesema maeneo yao ya mashamba yalifanyiwa tathimini tangu mwaka 2012 ili kupisha mradi wa umeme kutoka Mto Malagarasi lakini mpaka sasa hawajalipwa fidia licha mazao yao kufyekwa.
Taarifa zaidi itakujia baadaye…
Credit kigomaliveFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment