
Imeripotiwa kuwa mcheza mpira huo alim-propose mchumba wake huyo mwezi wa saba na pete ya diamond yenye thamani ya Euro 500,000 licha ya kuwa wawili hao walishaoana kwa ndoa ya kimila tangu 2007 na wamekuwa pamoja kwa miaka 10 sasa.
Sherehe hizo zimefanyika CapiagoIntimiano, katika mji wa malavidavi Como,Italy.

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment