April 13, 2025 02:04:45 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
SCHUMACHER AKIWA NA MKEWE CORINNA, HAPA ILIKUWA NI MWAKA 2003. CHINI NI JUMBA LAO LA KIFAHARI.

Mke wa mwendesha magari ya langalanga maarufu kama Formula 1, Michael Schumacher amekuwa akitumia dola 100,000 (zaidi ya milioni 170) kila wiki.
 Corinna amekuwa akitumia fedha hizo kwa ajili ya matibabu ya mumewe.



Schumacher alipata ajali ya uanguka kwenye jiwe na kujigonga wakati akiteleza kwenye barafu.
Amekuwa mahututi kwa zaidi ya miezi sasa.



Timu ya madaktari inayomtibu imekuwa ikifanya kazi yake kwenye moja ya majumba yake ya kifahari.
Bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
02 Nov 2014

Post a Comment

 
Top