Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kambi ya muimbaji na mtunzi mahiri wa muziki wa R&B nchini Marekani, R.Kelly, imemuita Alikiba ‘King of Tanzania’.

10784822_263176757139467_414552295_n
Kambi hiyo inayojiita R.Kelly Media ambayo huendesha akaunti za mitandao ya kijamii yenye jina hilo, imepost picha ya Alikiba na R.Kelly kwenye Instagram zilizoandikiwa ‘King of Tanzania’ na ‘King of America’.
Hata hivyo, haijulikani kama akaunti hiyo iko chini ya R.Kelly mwenyewe au ni mashabiki wake tu wanaofanya promotion kwa mapenzi yao.

Mwaka 2010, R.Kelly aliandika na kutayarisha wimbo wa mradi wa Airtel One 8 na kushirikishwa wasanii mbalimbali wa Afrika wakiwemo Alikiba, Navio, 2Face Idibia, Fally Ipupa, Amani na wengine.
Wimbo uliitwa HANDS ACROSS THE WORLD.
Bonyeza hapa kuungana nasi facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top