STORI: Musa Mateja
WHY? Wauza nyago wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya utupu na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na simu za kupangusa, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili.
Ukiachana na Agness Gerald ‘Masogange’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, Rehema Fabian, Husna Maulid ambao walisharipotiwa huko nyuma, mrembo maarufu kwa jina moja la Lulu ambaye ameuza sura kwenye ‘kioo’ cha Ngoma ya Shitobe ya msanii anayefahamika kwa jina la Y-Tony, naye ameingia katika skendo hiyo.
Uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kwamba, asilimia kubwa ya warembo hao hurekodiwa na wapenzi wao wanapokuwa faragha kunako sita kwa sita na pale wanapogombana ndipo wanaume hao huzitupia video hizo mitandaoni ili kuwakomoa na kuthibitisha kuwa tayari amempitia hivyo ni ‘makapi’.
Kupitia Mtandao wa Youtube, mrembo huyo anaonekana kwenye video akicheza muziki wa Bendi ya Yamoto, akiwa mtupu huku ikisikika sauti ya mwanaume ikimsihi aendelee kucheza kwa ahadi kuwa video hiyo ni maalum kwa ajili yake na si mtu mwingine.
“Hii ni special for me, not for anyone,” alisikika mwanaume huyo.
Video hiyo ambayo ilisambaa haraka mwanzoni mwa wiki hii na kuwa gumzo katika mitandao mbalimbali, wafuasi wengi walikuwa wakikemea tabia hiyo ya kurekodiwa wakiwa utupu.
“Hawa wanajitakia wenyewe, haiwezekani uwe na mpenzi halafu umuamini eti akurekodi kwa ajili yake tu, ni ujinga tu unawasumbua.
Kwanza unaruhusu kurekodiwa ili iweje?,” alihoji mdau mmoja mtandaoni.
Baada ya kuitia kibindoni video hiyo, gazeti hili lilimsaka Lulu wa Video ya Shitobe (siyo Elizabeth Michael) kupitia rafiki zake lakini jitihada ziligonga mwamba kwani ilidaiwa kwamba, kutokana na aibu aliyoipata, aliamua kujificha huku akizima simu sambamba na kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya Instagram.
Licha ya kuzifuta, mwanahabari wetu alibahatika kumpata kupitia Facebook ambapo anatumia jina la Lulu Mrs Comoro ambako ametupia picha zake lakini akashindwa kutoa ushirikiano.
Mtiririko wa warembo hao kurekodiwa video za ngono ulianza kwa Rehema ambaye alionekana kwenye video ya msanii wa Bongo Fleva aitwaye Pasha.
Baadaye Agness ambaye alishiriki kwenye video ya Wimbo wa Masogange wa Belle 9 akafuata Jack Patrick ambaye ameshiriki kwenye video ya Chungwa ya msanii Sumalee na Nataka Kulewa ya Diamond akafunga dimba kabla Lulu hajaongeza idadi hiyo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- VIDEO: Mama Wema Aeleza Beef yake na Man Fongo Kisa……..09 Sep 20160
NI Mama Wema Sepetu ambae ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa ...Read more ?
- Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video)25 Aug 20160
Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria...Read more ?
- Picha za Masanja na Mke wake Zazua Maswali Kwa Mashabiki wake..Wadai Mke wa Mchungaji Apaswi Kuvaa Hivyo19 Aug 20160
Baada ya Harusi ya Mchekeshaji Masanja na Mkewe iliyofungwa Jumapili iliyopita wawili hao wameon...Read more ?
- AUDIO: Kitu Diamond kasema kuhusu yeye kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto03 Aug 20160
Ukaribu wako kwenye mitandao ya kijamii siku za karibuni unaweza kuwa ulikukutanisha na stori...Read more ?
- Shamsa Ford Amuweka Wazi Mpenzi wake Mpya03 Aug 20160
Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa baada ya kuachana na mpenzi wake wa...Read more ?
- Madai: Flora Amwangukia Mbasha30 Jul 20160
Habari ya mjini ni Mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha kudaiwa kumwangukia mumewe waliyetengana, Em...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment