Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Neymar ameamua kumchukulia demu wake, Soraja Vucelic private jet kutoka nchini Serbia hadi Barcelona.

1414674641688_wps_23_Pic_shows_Champion_League


Soraja Vucelic

Gazeti la udaku la Belgrade, Kurir limedai kuwa wawili hao walikutana mwaka jana huko Ibiza na wamekuwa wakiwasiliana kwa Skype. Gazeti hilo limedai kuwa Vucelic alikubali kumtembelea Neymar Barcelona mwishoni mwa October.

1414674927097_wps_34_Pic_shows_Champion_League
Neymar aliamua kusitisha tiketi za ndege alizokuwa amekata Vucelic na kuamua kumtumia ndege binafsi ikamchukue yeye na rafiki yake. Mrembo huyo wa Serbia alidaiwa kukaa Barcelona kwa siku kadhaa.
1414674539847_wps_21_Pic_shows_Champion_League
Vucelic aliyepata umaarufu kwa kushiriki kweye shindano la Big Brother alipost picha akiwa amevaa jezi Neymar ya Barca ndani ya ndege.
Bonyeza hapa kuungana nasi facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top