Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar da Silva Santos Júnior amekula shavu la kuwa kisura wa miwani za polisi, SS15.

Neymar ameungana na mrembo wa Mexico, Daniela de Jesus kama visura wa miwani hizo.
Neymar amefuata nyayo za mastaa wengine waliowahi kuwa mabalozi wa miwani hizo ambao ni pamoja na Bruce Willis, George Clooney, David Beckham na Antonio Banderas.
Hizi ni picha zake zaidi.





Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment