Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Picha kubwa ya Mh.Temba.
Mashabiki wa msanii huyo wakifuatilia moja ya burudani zilizokuwepo.

Bendi ya Isha Mashauzi ikitoa burudani.
Mh.Temba akikata keki iliyoandaliwa katika bethidei yake.
Yamoto bendi ikitoa burudani.

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva,  Amani James Temba a.k.a. Mheshimiwa Temba,  jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa (bethidei) kwa chereko kibao katika ukumbi wa Equator Grill  maeneo ya Kwa Azizi Ali, Mtoni-Mtongani jijini Dar, es Salaam, ambapo mashabiki wengi walihudhuria kumpa ‘tafu’ na hongera.
Picha GPL

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie habari Moja Kwa Moja ..Bofya  HAPA!

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top