Jaguar amekuwa msanii mwingine mkubwa kutoka Kenya kufanya collabo na msanii wa Nigeria Iyanya baada ya Sauti Sol kumshirikisha msanii huyu kwenye wimbo wao 'Sura Yako' .
Iyanya ametufahamisha kupitia instagram yake kuwa anafanya video na Jaguar 'One Centimeter Remix
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment