Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Diamond & Zari the Boss LadyGossip Cop wa nguvu, Soudy Brown leo kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.

Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile Soudy alichokuwa anamuuliza, Gossip Cop alilazimika kuzima kifaa cha kurekodi sauti ili Diamond ampe story kamili.
Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana, majibu ya Diamond yameonyesha hawako pamoja na kuzitaja baadhi ya sababu zilizopelekea kutokea hilo, ikiwa ni pamoja na zawadi ya gari aina ya BMW ambalo anadai Martin Kadinda hawezi kumpa, pamoja na safari za Wema China ambazo anadai kuna mtu mwingine aliyekuwa anazifadhili.

Diamond hajazungumza chochote kuhusu yeye na Zari the Boss Lady.
Kuisikiliza U Heard bonyeza play hapa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top