Ni dakika 4 za video iliyorekodiwa kutoka kwenye TV kuhakikisha tu kilichofanywa na Mtanzania mwenzetu hakitupiti… ni Dj Tass ambae alituwakilisha Tanzania na kutumia sehemu kubwa ya time yake aliyopewa kupiga muziki, kuupiga muziki wa Tanzania ambapo single alizozigusa ni pamoja na Mwana ya Ali Kiba na single za wengine kama Yamoto Band.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment