Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MSANII wa Bongo Fleva, Baby Madaha anadaiwa kuambukizwa gonjwa hatari la zinaa ambalo halikutajwa jina lakini likielezwa kuwa linampa wakati mgumu kisaikolojia. Chanzo kimoja kimeiambia show bize kuwa, nyota huyo amekuwa akitumia dawa za kusafisha haja ndogo kwa muda mrefu lakini bila mafanikio.
Msanii wa Bongo Fleva, Baby Madaha.
Show bize ilimsaka Baby Madaha mwenyewe ambapo aling’aka kwa ukali.
“Hizo habari nani kakupa wewe? Hayo si moja ya maisha ya wanadamu kwani kipi kibaya hapo? Oke, sawa naumwa na hao wanaume wanaotaka nikatibiwe wanajua mimi naumwa nini? Magonjwa ya zinaa si yana dawa?” alihoji.
Hata hivyo, mrembo huyo alisema yeye ana tatizo la haja ndogo kuwa chafu lakini si ugonjwa wa zinaa.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top