Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

https://mkito.com/images/artists/artist_a487db0de475767b030014cd267b233a.jpgHABARI zilizotufiki hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa msanii wa kundi la TMK Wanaume Family na memba wa Mkubwa na Wanae, Yessaya Ambikile YP amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Unaweza Soma : INASIKITISHA BI HARUSI ATOROSHWA , MAMA MZAZI AHAHA!



Kwa mujibu wa taarifa hizo ni kwamba YP aliyekuwa mmoja wa wasanii waliojiengua TMK Wanaume na kuunda kundi moja na wenzake Y-Dash na Jebby alifariki nyumbani kwao Keko, jijini Dar es salaam bila kuelezwa kama alikuwa akiumwa au la!
Unaweza Soma : HAA! MBOWE SOMA ALICHOKIFANYA MHE.FREMAN MBOWE

Kibonajoro.com Itaendelea kukupa taarifa juu ya kinachoendelea


Kadhalika inatoa pole kwa ndugu, jamaa, na familia ya marehemu YP aliyekuwa akitamba na wimbo wa Binadamu Visa alioimba na swahiba wake, Y-Dash.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top