
Ni siku chache zimepita tangu tamasha la Serengeti Fiesta lifanyike, ambapo tulishuhudia baadhi ya wasanii wa hapa Bongo wakipata nafasi ya kushare stage na wasanii wakubwa wa Afrika kama Davido na Waje huku kutoka Marekani alikua ni msanii T.I.
Unaweza soma : Msanii YP wa TMK Wanaume Family Afariki Dunia
Ni ukweli usiofichika kua Fista ya mwaka huu imekua gumzo kubwa hasa baada ya kutokea mzozani kuhusu nani mkali zaidi kati ya Ali Kiba. Japo kulikua hamna ushindani lakini mashabiki wa wasanii hawa wawili wamekua katika marumbano makali kuhusu alimfunika mwenzake.
Unaweza Soma : INASIKITISHA BI HARUSI ATOROSHWA , MAMA MZAZI AHAHA!
Millard ayo kupitia Ayo Tv alipata nafasi ya kufanya mahojiano na Ali Kiba kuhusu wasanii waliofanya poa stejini na alikiba alianza kwa kusema ” Nilichelewa kufika sikuweza kuwaona kina Ommy Dimpoz, Vanessa na kina Young Killer lakini niliobahatika kuwaona wote wamefanya kazi nzuri, nilimkuta Waje na Panto walifanya vizuri japo ni nyimbo zao chache tunazijua ” akazidi kufunguka zaidi kwa kuwataja wasanii ambao anaona yeye walifanya vizuri ” Mr Blue amenifurahisha sana, WEUSI wamefanya kazi nzuri…. kina Diamond wamefanya kazi nzuri pamoja na Linah ”
Unaweza Soma : HAA! MBOWE SOMA ALICHOKIFANYA MHE.FREMAN MBOWE
Source Millardayo
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment