Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
TUNDA man
Show ya Tunda Man nchini Africa kusini jumamosi iliyopita iliharibiwa baada ya mtu mmoja kupuliza pepper spray ama pili pili iliyo katika mfumo wa kupuliza kwenye chupa za Perfume,


kwa mujibu wa Tunda Man anadai wakati tukio hilo linatokea yeye alikua anatumbuiza ndani ya Club moja Capetown ghafla yeye na mashabiki wakaanza kujiskia vibaya wengine walikua wanaanguka kwa kuishiwa pumzi na wengine wakaanza kukanyagana ili kuwahi kutoka nje hali iliyosababisha majeraha kwa wengine ndipo ikabidi mabaunsa wa club hiyo waanze kuwasaidia waathirika akiwemo Tunda Man ambaye nae alishaanza kuwa katika hali mbaya, baada ya hali kutulia ikagundulika kuwa kuna mtu Raia wa Burundi alikua amepuliza Pepper Spray ndani ya Club, raia wakataka Tunda aendelee na Show lakini polisi wengi waliofika eneo la tukio walizuia show hiyo isiendelee, na aliyesababisha majanga hayo alikamatwa baadae akaachiwa kwa dhamana….
Sikiliza Mahojiano kati ya Soudy Brown na Tunda Man ambaye wakati huu bado yupo South Africa  Bonyeza Hapa

Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za ndani na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top