Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Stori: Musa Mateja
MTANGAZAJI wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’, juzikati aliamua kutoa siri yake ya moyoni na kuweka wazi juu ya tabia yake ya kuachika na kupata mume mpya mara kwa mara.
Mtangazaji wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ akiwa kwenye bethidei ya Rose Ndauka.
Aliweka bayana kwamba anaachika na kupata mwanaume mpya haraka kwa sababu ana shepu ya kalimati (aina ya andazi linalonona).
Mtangazaji wa kituo cha Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ akipozi.

“Naomba watu wajue kuwa ukoo wangu, Rose na wenzake wao Mungu aliwapatia shepu na urefu wa umbo lakini mimi nina shepu ya kalimati na ndiyo maana napata waume...ingawa kwa leo sina mume wala mchumba,” alisema Dida alipokuwa kwenye bethidei ya mwigizaji Rose Ndauka iliyofanyika juzikati katika Ukumbi wa Collesium, Kariakoo, Dar.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
11 Oct 2014

Post a Comment

 
Top