Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MAMA wa aliyekuwa nguli wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amempa darasa la kuzaa haraka mwigizaji Wema Sepetu na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’.


Msanii wa filamu Bongo Wema Sepetu.

Mama Kanumba alifunguka hayo hivi karibuni alipokuwa akipiga stori na mwanahabari wetu ambapo alipotakiwa kutoa ushauri juu ya penzi la Wema aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanaye, mama huyo alisema azae haraka kwani umri haumsubiri.
“Kanumba hakuwahi kunitambulisha mwanamke yeyote zaidi ya Wema na aliapa kumuoa, akaniambia hawezi kuniletea mwanamke mwingine, nimshauri Wema azae na bebi wake kwani mtoto ni faraja kwake,” alisema mama Kanumba.


Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za ndani na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top