Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mira-kiss-Nhlanhla-BBA-Hotshots


Kama wew ni mfuatiliajii mzuri wa BBA mwaka huu utakuwa unajua kuwa huu ndio mwaka unaongoza kwa kuwa na mahusiano amabyo hayaja halalishwa, Mshiriki kutoka Namibia , Luis Usiku wa kuamkia leo alionekana akiwa karibu na mrembo kutoka msumbiji ambaye ni mwanafunzi anayejulikana kwa jina la Mira ambapo walianza mahusiano hayp siku chache baada ya Luis kuachana na mpango wake wa kwanza baada ya kuonekana na ukaribu na Lilian siku za mwanzo.

Pia Jana usiku ilikua siku mbaya kwa mshiriki Sheillah baada ya kushuhudia Mira akimpa Kiss Nhlanhla ambaye ni mshiriki kutoka Africa kusini. Sheillahna Nhlanhla wameonekana kua karibu japo wote bado hawajaafunguka kuhusu mahusiano yao.


Mira--kiss-Luis 
Kibonajoro.com ndio mtandao wako kwa habari za ndani na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top