
Wiki chache kwenye Show ya Drake vs Lil wayne mjini Texas Drakealipata muda wa kuzungumza kuhusiana Rihanna"Labda ningezjua kuhusu ushenzi unaosemwa kumhusu mapema nisnge usikiliza watu wanaosema tokea mwanzo,labda yangefanya mahusiano yangu na Rihanna yakue"Drake alisema haya na watu wengi hawakutegemea kama angeyasema haya.Usemi huu uliwafanya watuwengi waamini kwamba Drake ana hisia na Rihanna
Chakushukuru ni Picha kadhaa alizoposti kwenye mtandao wa Instagram zinazotufanya tuamini Drake is Over Rihanna,na pia ana demu mpya anayeitwa Ura,ni muigizaji Model and Wait for it??stipper
kitukimoja tunacho kijua sasa nikuwa Dizzy anakuwa yuko bize akideal na mzigo wa binti huyu
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment