Mshambuliaji raia wa Algetina aguero ameifungia magoli yote maanne timu yake pale ilipoitandika Tottenham kwa goli nne kwa 1 na kuwa main off the mechi. kwenye mchezo huo kiungo frank Lampand alitolewa nje baada ya kuumia huku beki wa tottenham Federico Fazio akitolewa nje kwa kadi nyekundi kwa kumchezea vibaya Aguero.
Aguro alianza kuiandikia timu yake goli la kwanza katika dakika 13 dakika mbili baadae Erikson aliisawazishia tottenham goli. Aguero tena hakukata tamaa mnamo dakika ya 20 akaipatia goli la pili na kwenda mapumziko huku wakiwa wanaongonza mbili kwa moja. kipindi cha pili Aguero aliifungia tena magoli mawili katika dakika 68 ,78 na kufanya hadi mchezo unaisha Man city 4 -Tottenham 1.

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment