Red carpet.
Shilole katika red carpet.
Nuh Mziwanda akipiga picha katika red carpet iliyoandaliwa.
Shilole na wacheza shoo wake wakifanya yao.
Wacheza shoo wa Shilole wakionesha ufundi wao mara baada ya video ya 'Namchukua' kuzinduliwa rasmi.
Shilole akiwa na Kajala katika pozi.
Sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya vinywaji.
Jana (Ijumaa) msanii wa muziki na maigizo Bongo, Zuwena Mohammed ’Shilole’ amezindua video ya ya wimbo wake wa ‘Namchukua’ ndani ya viwanja vya Ufukwe wa Coco Beach, ambapo watu mbalimbali walihudhuria wakiwemo mastaa.
Picha GPL
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment