Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
IMG_20141021_145913

Kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo limeandika habari inayodai kuwa msanii Diamond Platnumz anachunguzwa Na jeshi la wananchi Tanzania JWTZ Kwa madai kuwa eti alitumbuiza Na magwanda ya jeshi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika jumamosi iliyopita katika viwanja vya Leaders Club, gazeti hilo limezungumza Na Msemaji Wa Jeshi hill Meja Joseph Masanja ambaye alikiri kuanza Kwa uchunguzi Wa kina Kwa Diamond Chege Na Nay Wa Mitego,


Kambi ya Diamond:
Wao wanadai mavazi yanayofanana na magwanda ya jeshi yaliyovaliwa usiku wa fiesta yana Baraka zote kutoka mamlaka husika.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top