April 12, 2025 06:29:10 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MOHAMED Mwikongi ‘Frank’ muongozaji na na mwigizaji nyota amefunguka kwa kuelezea fitina na ubaya ambao amekuwa akifanyiwa Bongo Movie umemtisha na anahisi sasa anatafutwa roho yake, kwani mara nyingi anapigwa vita hadharani kutoka kwa wasanii wenzake ambao ujifanya ni marafiki. 


Frank anaelezea hayo baada ya mtayarishaji wa filamu ya Mateso Yangu Ughaibuni kuweka bayana kuwa yeye hakumhitaji Issa Mussa katika filamu yake bali aliyemchagua alikuwa ni Frank na baadae Riyama akamlaghai kwa kumueleza kuwa Frank ni msumbufu bora ampe nafasi hiyo Cloud.
“Naomba watu waniulizie dada yangu Riyama nimemkosea nini? Pamoja na kumsaidia lakini ndio amekuwa mfitini wa kazi zangu, alishanifanyia unyama huo, Shamsa Magunga katika kazi yake, leo tena karudia kwa Didas,”
“Siumii kwani sikwenda kurekodi Uingereza no, bali kwani mtu akupe sifa ambayo hauna, kama ya ukorofi na usumbufu,”anauliza Frank.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
10 Oct 2014

Post a Comment

 
Top