Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Habari mpya zinasema kuwa Wema Sepetu anamsaka meninah kwa udi na uvumba sababu ikidaiwa ni Meninah kutoka kimapenzi na Diamond kwa siri kubwa huku Wema akiwa hana hili wala lile mpaka mapenzi ya wawili hao yalipoanza kukomaa na kuchanua nje na watu kujua.


Inadaiwa kuwa Meninah tayari pia amejua kuwa anasakwa na Wema hivyo kuingiwa na hofu, ingawa akizungumza na gazeti moja la udaku juzi Meninah alisema kuwa hatoki na Diamond bali anasingiziwa tu.

GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top