March 15, 2025 05:48:55 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Vanessa Mdee pamoja na Diamond Platnumz ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo za ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014 huko Nigeria.
Vanessa Mdee
Vanessa ametajwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni ‘Msanii Bora wa kike Afrika Mashariki’ pamoja na ‘Best African RNB Soul’ kupitia wimbo wa ‘Come Over’.

Vee Money anachuana na Wahu na Size 8 wa Kenya, Maurica Kirya wa Uganda, na 2Face wa Nigeria.
Upigaji kura unatarajiwa kuanza Jumanne ya wiki ijayo September 30 na tuzo zitatolewa November 9, 2014.
Vanessa ameshare furaha yake na kuwashukuru mashabiki kwa kuandika:
“Just found out I got 2 @AFRIMAWARDS nominations! #BestFemaleEastAfrica #BestAfricanRNBSoul #Tanzania #Africa ASANTE I’m over that moon.”

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
26 Sep 2014

Post a Comment

 
Top