;‘Jambo akiwa halitaki mara nyingi hupenda kusema achana na hilo lakini kama ni mtu kafanya jambo flani sio zuri utamsikia mzee tu anasema huyu mtu bwana achana nae….. maarifa yake madogo, naweza kutoa ushuhuda mbele za watu mzee wangu mimi sio mtu ambae ameishi kwenye mazingira yanayotoa fursa ya matumizi ya lugha ngumungumu kama matusi‘;
;‘Yani mtu akimuudhi… huwezi kusikia amefikia hatua ya kutamka labda huyu mshenziiii…. sina kumbukumbu ya mimi kumsikia akitamka neno kama hilo, mara nyingi ukikosea anasema huyu maarifa yake madogo kwelikweli‘; – Ridhiwani
|
Post a Comment
Post a Comment