ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni. Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande w a kushoto
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni, lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment