Msanii wa Bongo Fleva, Linex akitoa burudani usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Umati wa mashabiki katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo akifanya yake.Barnaba Boy akifanya makamuzi jukwaani.Mr. Blue akiwapagawisha washabiki jukwaani katika tamasha hilo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment