Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Picha: Beyonce apata shida baada ya nguo kufunguka na kuacha kifua chote wazi akiwa jukwaaniBeyonce Knowles alipata tatizo la aina yake alipowasapraiz mashabiki wake kwa kuungana jukwaani na mumewe Jay Z ghafla katika Global Citizen Festival iliyofanyika wikendi iliyopita.  
Akiwa katika harakati za kuimba na kucheza, ghafla top yake nyeupe iliafunguka na kifua chake kubaki wazi huku ‘maziwa’ yakitoka nje ya bra iliyokuwa na rangi ya ngozi yake.
Hata hivyo, kitendo hicho kilifanyika ndani ya sekunde chache kiasi kwamba mashabiki waliokuwa wanashangweka hawakukishtukia hadi pale video ya show hiyo ilipotoka na wana habari wakacapture picha na hivi sasa imesambaa.
Katika hatua nyingine, Beyonce alionekana akiwa na pete ya ndoa kwenye jukwaa hilo hivyo kuzidi kuwaonesha watu kuwa ndoa yao iko imara tofauti na tetesi zisizokoma juu ya uhusiano wao.
Bonyeza Hapa like ukurasa wetu wa facebook 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top