Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wiz khalifa na Amber Rose

Tmz wameripoti kuwa model Amber Rose ameomba talaka kutoka kwa mume wake ambaye wameishi pamoja kwa muda wa mwaka moja. Amber anasema yeye na mumewe wametengana kuanzia Jumatatu na anataka haki zote za malezi za mtoto wao Sebastian mwenye umri wa mwaka mmoja.

0924_AMBER_ROSE_WIZ_DOC
Tofauti na ndoa za wasanii wengine zikivunjika hugawana pesa na mali, Amber alisainishwa makubaliano ya kutochukua mgao wa pesa au mali kutoka kwa mumewake endapo watatengana. Soma Zaidi hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top