Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Hii ndio habari ya mujini, haya kama ulikuwa hujui basi chukua hii, designer mkubwa wa nguo Tanzania ameamua kufunguka kupitia mtandao wako wa jamii wa makubwa haya blog yakuwa yeye gari kwake sio ki2, kwa kudhihirisha hilo ameamua kununua saa inayoitwa TAGHEURE yenye thamani ya $9800 ambayo ni sawa sawa na milion 16 za kitanzania na hii ndio kauli aliyoitoa designer martin kadinda kutokana na saa hiyo....Yeeeeeeeeees I finaly own one…. #TAGHeuer #GrandCarrera watch….. U own fancy car I own this Watch……. Google it if u dont mind.. Its all about uamuzi,design n fashion..big up kwa martin kadinda coz u have done something different in the industry of Tanzania keep it up jamany u really desearve to be congratulated..
Bonyeza Hapa like page yetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top