Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Askari polisi waliokuwa katika doria maeneo ya mtaa wa Mabatini Songea Mjini wamenusurika kufa baada ya kurushiwa kitu kinachosemekana ni bomu la kutengenezwa kwa mkono majira ya saa 2 usiku wa jana mmoja akiwa ni wa kiume na mwingine akiwa ni wakike. Tarifa kamili tutawaletea endelea kufatilia 

Chanzo: demasho.com
Bonyeza Hapa like page yetu 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top