Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

1.Anachelewa kureply,unaona message imesomwa(seen) ila anadai hajaigia facebook.

2.We kila siku ndo wakumbembeleza,ye wala haumii ukimchunia

3.Mnakuta nye ni wapenzi,na kukuandikia inbox hawezi kisa we hujajibu yake ya mwisho,atakuwa online hata wiki 3 anaupdate na hakuulizi kisa hujajireply inbox yake.

4.Kitu kidogo ayaaaaaaaa anakimbilia kuachana na kusingizia huna future naye na je mtawezaje kudumu maisha ya baadaye.


5.Kuna siku akiamka hakuambii,sweety,hun,bby,mme/mke wangu kama kawaida yake,kumbe ule upendo ashauhamishia kwa
mwingine na amejaziwa maneno ya ngono.

6.Status zake za kimafumbo,unachat naye lovely ila status yake analalamika kuachwa, (kivipi kama we hujamwacha?)

7.Anajifanya hampendi mpenzi wake wa zamani na kumponda kwako,ila ukiona anarudia kumtaja ujue bado ana uhusiano naye.

8.Huwa ukiangalia picha zake watu wanamwita bby ila yeye hawezi kureply ili asifumaniwe,aki
reply atasema "thanks all"nye wapenzi wake mtapeana za uso huko ye hana habari atasema anashobokewa

9.Simu yake visingizio kila siku,ooh hakuna chaji wakati iliita ukaona call cancelled

10.Anapenda zaidi kutumia account fake na inawezekana si jina lake halisi na hata picha
yake haweki.

12.Hata kupiga sim au sms hatumi,mwanzoni alikuwa anakushobokea mpaka anapromise uzima wa milele

13.Anakukumbuka tu siku nanihii zake zimepanda mpaka unashtuka imekwaje leo amenikumbuka.

14.Kila saa anazungumzia ngono,atakumbuka wapi wakati hana hata future.

15.Kila siku anajifanya ye amewahi kukutana na kuwa na malengo na masuperstar(ana jifanya wa viwango).

16.Huwa hareply anaLIKE tu comment kumbe anaogopa kuwagombanisha wazinzi wenzake
(ila wengine kweli hata hawajui
kinachoendelea,wakiambiwa wanapendwa wanapiga tu makofi)

17.Anakublock tu hujui hata sababu baadaye anasingizia amepanic kwa ajili ameona
comment flani na anawivu kisa anakupenda (mbona hujafa sasa?)

18.Kuna walio nchi za ng'ambo,mashauzi kibao eti hajazoea mambo ya bongo,labda anaumia sana kwa vile amesahau bongo,kuna wengi wanazaidi ya miaka na miaka yeye wa mwaka kasahau bongo,(ng'ambo yenyewe kaenda kwa msaada wa kijiji baada ya kulia lia sana)

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top