| Wengi humfananisha msanii huyu na mkongwe wa muziki wa Bongo fleva maarufu kama RayC,kuanzia macho,weupe wake,sauti hadi jinsi anavyocheza unaweza kusema kuwa ni mdogo wake Ray C,ila uzuri wake ndio uitakaokuweka kwenye luninga yako muda mrefu kumwangalia video yake,badala yakusikiliza nyimbo.Ni msanii aliyekuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva nakukubalika kirahisi na kubaki on top hadi hii leo,ana-hit na nyimbo kama Kizunguzungu,upepo,nashukuru umerudi na nyingine nyingi. Bonyeza Hapa like page yetu. |
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment